kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 994
Kuna watu wanaweza wakawa wanaona fursa wanazidharau Kumbe hizo ni dili Kwa wengine
Mi kuanzia mwezi wa saba ntaanza kupata soko la maharage!
Maparachichi, Karanga
na mafenesi huku, naona wanapata kutoka pakistani sana!
Pia hapo ulipo unaweza ukawa unaona kuna fursa ya kufundisha!
Kufanya sales
Kufua Au kuhudumu hotel
Weka hapa watu wajimwage
Fursa mi naweza nkatafta connection za soko la bidhaa kutoka africa
Lakin za huku mko mbali nazipiga mwenyewe
Mfano hii ya summit ya Brussels kufunga mabango 20 nimekumja nanwenzangu wawili 2500$
Hapo kila mtu atapata 800$ fresh
Nilipat deal nika depart kuja Kwa week moja tokea tarehe 14 nta rudi Latvia tarehe 21
Tusibaniane