Umeongea kwanuchungu sanaMkuu , ukitaka kujua uhalisia wa hili , wewe fuatilia SIRI nyingi muhimu hutazikuta ONLINE.
Wengi walioko online wanapuyanga tu huku wakiishi kwa "Guess work".
Kuna lundo la watu wanafanya Kazi TANESCO, TBA, TBS, TMDA, TAKUKURU, NGORONGORO, KADCO, TISS, JWTZ lakini Kuna taarifa ukizitafuta, nyingine hata siyo Siri kiviile Kama vile mishahara na nafasi za kazi huwezi kuzipata.
Lakini hayo mashirika Yana Watumishi wengi mnooona wapo online.
Mimi Kuna kipindi, nilienda kwenye shirika fulani nikakuta wanalipana vizuri sana na walikuwa wanaajiri hata watu wasio na elimu kabisa.
Lakini Mambo Kama hayo huwezi kuyakuta online.
Vema sana ila ziwe genuineFursa ya nafasi ya walimu wa 4 wakike kufundisha geography na history nchini india,jimbo la Tamil Nadu. Meal and accommodation utapatia, pamoja na visa. Kujiendeleza kimasomo inaruhusiwa. Ukiwa tayari njoo na CV pm.
Weka thread kabisa mzeeFursa ya nafasi ya walimu wa 4 wakike kufundisha geography na history nchini india,jimbo la Tamil Nadu. Meal and accommodation utapatia, pamoja na visa. Kujiendeleza kimasomo inaruhusiwa. Ukiwa tayari njoo na CV pm.
Zipo genuine mkuuVema sana ila ziwe genuine
HAHAHAHAAAUzi huu wenye Fursa wanaweza wasijitokeze
Lakin nauliza swali Kwanini mkishaenda nje mnatudharau Yaan hata fursa kidogo hatupewi!
Nataka visa bwana ya Uingereza nikajilipue huko,
Nipe maagent nijilipue
Bongo michosho
Kila mwaka nadhani ntatajirika mwaka ujao nao unapita Hivi Hivi