Uzi wa kupeana mialiko siku ya pasaka(ubweche)

Uzi wa kupeana mialiko siku ya pasaka(ubweche)

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Jamani tukaribishane kupitia huu uzi. maana pasaka inakaribia.
Uchoyo sio mzuri mie nikikaribishwa sili sana. nakula masinia mawili ya ubweche plus udambwiudambwi mwingine (msiogope hicho ni kidogo)
pia wakubwa na yale mambo yao (usiwaze vibaya) wanaruhusiwa..

Mie nakaa maghetoni. Mama mwenye nyumba saivi hatuelewani so kula pilau kwake haiwezekani!

Pancho boy
 
Back
Top Bottom