Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una skills gani mkuu kwa sasa? . Elimu au fani?Nataka kuishi Norway nianzie wapi mkuu Mie nayo passport tu
Kuna mashabiki nguli wa Urusi na wanaoziponda nchi za Ulaya ila naona nao wanataka connection za kukimbilia huko.Habari,
Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.
Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani..
Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.
Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.
Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..
Ahsante..
Pia soma:
USA
Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange
Tatizo watoto sshv wanahishia kuongea vitendo zeroAliyefanikiwa kupitia uzi huu atoe mrejesho..