Fimbo ya Musa jr
Member
- Aug 10, 2022
- 45
- 53
- Thread starter
-
- #41
haoHao pia ushindwe wewe tu, ila kua makin tu mambo ya kutuma hela kabla hujaona mzigo utalizwa....wasiliana nao uende physically
Wabongo buana sasa sijui anatulingisgia nini si Bora angekaa kimya ? , Huu Uzi ni WA kushare information yeye anaficha nini sasa ?Huo ndio ubinafsi sasa, utadhani utalijaza soko la dhahabu
Huyu namfahamu
Hii mwime bila shaka mkuu pamewaka saiviMachimbo yako mengi na yana dhahabu yenye ubora mzuri tu.... Tuendelee kupiga pesa taratibu.View attachment 2323460
upo huko....tatizo watu tunashare habari zikiwa nusunusu....tujitahidi kuleta habari ambazo hazitamuacha mtu na alama ya kuuliza kichwani.Hii mwime bila shaka mkuu pamewaka saivi
hii sio kahama nimezoom naona kama inaanzia na "kag"....afu inamalizia na ”a" bila shaka itakua kagera machimbo ya nyakanazi kule busiri
.Hili neno " Kuhira" na watu kukimbilia huko linaonyesha Watanzania bado tunatumia nguvu nyingi za kubahatisha kuvuna rasilimali zetu zilizo ardhini ndio maana wachina wanavuna mawe ya kutosha sasa hivi maporini
Duniani vipo vifaa vingi vya ku detect dhahabu na madini mengine ila sisi bado ni kubahatisha kwa " Kupiga chabo" na kutegemea ramli za waganga wa kienyeji
Matajiri wengi wamefilisika kwa kudanganjwa na wachimbaji kuwa wameukaribia mkanda, na kuwaonyesha kanyaboya ya chabo ya mchanga wanayoichanganya na madini kidogo
Upo Wilaya ya chamwinomgodi gan na upo wilaya gani?
mwana-share mmoja kala deal na mkemia...Mtoa mada umefanya vzr sana,uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu unatija sana lkn,changamoto ni kwamba wachimbaji wengi siyo waaminifu,kuna mambo ya kulogana,kuzungukana (kwa mfano kuna jamaa yangu aliwahi kubadilishiwa carbon akiwa plant na mwana-share mwenzake)
Vilevile changamoto nyingine ni mitaji ila,tuendelee kupambana bila kukata tamaa.Kwa tahadhari kama una mtaji usikimbilie kwenye machimbo mapya...kwa mtu mwenye mtaji mdogo hata mtaji mkubwa nenda kwenye sehemu ambayo watu wengi wanaikimbia huko dhahabu za vikole hazipatikani lkn,kwenye senga unatoboa vzr sana jambo la msingi ni kuhakikisha unalipima senga lako kwenye kila hatua!
Hapa Dar ni wapi dhahabu ilipo?KILA sehemu kuna dhahabu ni wewe tu kuvumbua
Watu wanageuzana fursa kwenye sharemwana-share mmoja kala deal na mkemia...
wakavuna kidgo ,mwana-share karudia kapi katoa mzigo wa kutosha
baadhi yawana-share ni wasengerema
Ndio maana akajiita mrangi,warangi ndio wako hivyo.Wewe ni mchoyo na mbinafsi!
Maana halisi ya Gold Digger ni mchuma asipopanda. Acha kupotosha watu, kuna matajiri weengi kanda ya ziwa ni wachimbajiHivi Kuna wanaochimba dhahabu ni multi millionaires?!
Ndo maana watu desperate na maskini kwa kiingereza wanaitwa Gold diggers.
Kama ulikuwepo kwenye akili yangu nipo Dodoma nawafahamu vizuri sana,wengi roho mbaya!Ndio maana akajiita mrangi,warangi ndio wako hivyo.
Nachingwea hii
Yana muda gani kwani, Maana huku Geita kuna chimbo jipya linaitwa Nyamatagata nako tunapiga sesa mankama upo mpakani mwa shy na Geita hii naisanua
ISONDA&LYULU dhahabu yake ni 94-99%
hayana muda mrefu sana haya machimbo
Naomba taarifa kamiliYana muda gani kwani, Maana huku Geita kuna chimbo jipya linaitwa Nyamatagata nako tunapiga sesa man