Uzi wa kupeana ramani za machimbo ya dhahabu yaliyolipuka/yanayolipuka na fursa zinazopatikana porini/chimboni

Uzi wa kupeana ramani za machimbo ya dhahabu yaliyolipuka/yanayolipuka na fursa zinazopatikana porini/chimboni

Hao pia ushindwe wewe tu, ila kua makin tu mambo ya kutuma hela kabla hujaona mzigo utalizwa....wasiliana nao uende physically
hao
Screenshot_20220814-105124.jpg
 
Hili neno " Kuhira" na watu kukimbilia huko linaonyesha Watanzania bado tunatumia nguvu nyingi za kubahatisha kuvuna rasilimali zetu zilizo ardhini ndio maana wachina wanavuna mawe ya kutosha sasa hivi maporini

Duniani vipo vifaa vingi vya ku detect dhahabu na madini mengine ila sisi bado ni kubahatisha kwa " Kupiga chabo" na kutegemea ramli za waganga wa kienyeji

Matajiri wengi wamefilisika kwa kudanganjwa na wachimbaji kuwa wameukaribia mkanda, na kuwaonyesha kanyaboya ya chabo ya mchanga wanayoichanganya na madini kidogo
 
.
 
Mtoa mada umefanya vzr sana,uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu unatija sana lkn,changamoto ni kwamba wachimbaji wengi siyo waaminifu,kuna mambo ya kulogana,kuzungukana (kwa mfano kuna jamaa yangu aliwahi kubadilishiwa carbon akiwa plant na mwana-share mwenzake)

Vilevile changamoto nyingine ni mitaji ila,tuendelee kupambana bila kukata tamaa.Kwa tahadhari kama una mtaji usikimbilie kwenye machimbo mapya...kwa mtu mwenye mtaji mdogo hata mtaji mkubwa nenda kwenye sehemu ambayo watu wengi wanaikimbia huko dhahabu za vikole hazipatikani lkn,kwenye senga unatoboa vzr sana jambo la msingi ni kuhakikisha unalipima senga lako kwenye kila hatua!
mwana-share mmoja kala deal na mkemia...

wakavuna kidgo ,mwana-share karudia kapi katoa mzigo wa kutosha

baadhi yawana-share ni wasengerema
 
kama upo mpakani mwa shy na Geita hii naisanua
ISONDA&LYULU dhahabu yake ni 94-99%

hayana muda mrefu sana haya machimbo
Yana muda gani kwani, Maana huku Geita kuna chimbo jipya linaitwa Nyamatagata nako tunapiga sesa man
 
Yana muda gani kwani, Maana huku Geita kuna chimbo jipya linaitwa Nyamatagata nako tunapiga sesa man
Naomba taarifa kamili
Mwanzoni dhahabu ya kule ilikuwa ya shikole, hivyo kwa sasa hadi kuna karasha mnasaga fero?

au bado mnapiga hio sesa ya shikole?

na kama mnasaga wastani kwa mfuko mmoja mnatoa gm ngap?
 
Back
Top Bottom