Uzi wa kupeana ramani za machimbo ya dhahabu yaliyolipuka/yanayolipuka na fursa zinazopatikana porini/chimboni

Uzi wa kupeana ramani za machimbo ya dhahabu yaliyolipuka/yanayolipuka na fursa zinazopatikana porini/chimboni

Joined
Aug 10, 2022
Posts
45
Reaction score
53
Habari za wakati waponchaji na madigala na watu wengine, tumain langu mnaendelea vyema na kijiti cha utafutaji na bwana anaendelea kubariki kazi ya mikono yenu.

kama uzi unavyosema ni mahususi kutaja maeneo ambayo wachimbaji wadogo dhahabu inapatikana kwa wingi kwamba yeyote atakaye thubutu kwenda uhakika wa kupata riziki uwepo.

Wengi hatuwezi kua na mawaasiliano ya moja kwa moja na watu walio porini kwa maana porini wakati mwingine mitandao hua haikamati vizuri. Hivyo kupitia uzi huu uwe msaada kwa wahitaji, wataffutaji wa dhahabu maana najua maisha ya kutafuta dhahabu ni kama ndege wakisikia sehemu imehila mda huohuo watu wanasafiri.

Naanza mimi mkoa wa shinyanga wilaya ya msalala kata ya nyamishiga machimbo ni nyamishiga yamelipuka miez kama 6 iliyopita lakin uzalishaji bado ni mkubwa sana na watu bado wanahila nimeshuhudia kwa macho watu walisaga mfuko mmoja wa mawe wakakamua 72gm.

Hivyo nawakaribisheni kutujuza mliyonayo.
 
Nmeingia rasmi kwenye hii biashara ya dhahabu,jiwe nmeliweka pembeni nna miezi 4 sahv huku,sema mleta uzi utanisamehe chimbo langu.

Kwa sasa sitoliweka wazi maana,sitaki kuwaamsha waliyolala

Ila dhahabu nayoigumia huku purity yake inagonga 98%

Ova
 
Unaona mambo haya..

Ova
IMG-20220608-WA0006.jpg
 
NMEINGIA RASMI KWENYE HII BIASHARA YA DHAHABU,JIWE NMELIWEKA PEMBENI NNA MIEZI 4 SAHV HUKU,SEMA MLETA UZI UTANISAMEHE CHIMBO LANGU
KWA SASA SITOLIWEKA WAZI MAANA,SITAKI KUWAAMSHA WALIYOLALA
ILA DHAHABU NAYOIGUMIA HUKU PURITY YAKE INAGONGA 98%

Ova
Sasa mwenzako kasema lengo ni kupeana michongo..wewe unaficha!
 
NMEINGIA RASMI KWENYE HII BIASHARA YA DHAHABU,JIWE NMELIWEKA PEMBENI NNA MIEZI 4 SAHV HUKU,SEMA MLETA UZI UTANISAMEHE CHIMBO LANGU
KWA SASA SITOLIWEKA WAZI MAANA,SITAKI KUWAAMSHA WALIYOLALA
ILA DHAHABU NAYOIGUMIA HUKU PURITY YAKE INAGONGA 98%

Ova
kama upo mpakani mwa shy na Geita hii naisanua
ISONDA&LYULU dhahabu yake ni 94-99%

hayana muda mrefu sana haya machimbo
 
Wewe ni mchoyo na mbinafsi!
Nmeingia rasmi kwenye hii biashara ya dhahabu,jiwe nmeliweka pembeni nna miezi 4 sahv huku,sema mleta uzi utanisamehe chimbo langu.

Kwa sasa sitoliweka wazi maana,sitaki kuwaamsha waliyolala

Ila dhahabu nayoigumia huku purity yake inagonga 98%

Ova
 
Nmeingia rasmi kwenye hii biashara ya dhahabu,jiwe nmeliweka pembeni nna miezi 4 sahv huku,sema mleta uzi utanisamehe chimbo langu.

Kwa sasa sitoliweka wazi maana,sitaki kuwaamsha waliyolala

Ila dhahabu nayoigumia huku purity yake inagonga 98%

Ova
Acha roho mbaya we mzee
 
Back
Top Bottom