Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

Bila shaka wew Ni UMUGHAKA muandiko na kila dalili Ni wew imekuja kwa I'd mpya kivingine

Ingawa nimechelewa kuona Uzi ila nakushauri tu kuwa achana waganga kwani IPO siku watakuja kukutia kichaa au kuwabambika wanao uchizi wa milele[emoji1]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nawew Ni mshirikina numekuspot Sasa ndio maana unampenda. Umughaka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wee Ni mshirikina mwandamizi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba "Mungu kaniajlia kupata mganga wa kweli" 🤣🤣🤣🤣
 
Acha ushirikina ni chukizo mbele za MUNGU, ni laana,umemfanya mwanadamu kuwa Kinga ya maisha yako [emoji24][emoji24]
 
When water is mixed up with sodium chloride it tend to cause fire [emoji91] hii ni chemistry ya form three, we unaona uchawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…