Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

Kuna mdada alienda kwa mganga kutafuta mwanaume. Yule mganga akamwanbia dada inawezekana nyota yako imefichwa hivyo haionekani. Akampa madawa akajipaka pale kwa mganga.

Kisha mganga akampanga mchizi wake mmoja kwenye eneo fulani umbali fulani toka ofisini kwake. Akamuelezea jinsi dada alivyo na shida yake, so mchizi ajipange akale kazi.

Demu kutoka kwa mganga dakika kadhaa anakutana na mchizi, mchizi akaomba wakae sehemu waongee kidogo huku wakipata soda, dada akajua dawa za mganga zinafanya kazi. Jamaa akawa anakula ile kazi kilaiiini kwa gia ya kumuoa. Kumbe hamna lolote.
 
Ais
Huu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection Za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.

Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location Alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza.

Nitaanza mimi.

1. Mganga wa Kwanza Nilikutana Naye kigoma Huko wilaya Ya Kakonko , Alikuwa Mama wa Makamo Mwenye Mguu Mbovu , Yule Mama Alikuwa Kiboko Aisee Akikufanyia Jambo Lazima lishike.

Kwanza Ukifika Kwake Kazi Anafanya Asubuhi tu Saa 12 mpka sa4 mwisho , Ukiingia Tu Unakutana na Kitambaa Ukutani kama Kuna Wabaya waliowahi kukufanyia kitu kibaya wote utawaona pale na vitu vyote walivyokufanyia , Mkishaangalia pamoja ndio Anaanza Matibabu.

Huyu ndiye aliyenifanya niamini baadhi ya Mambo tunayo yaonaga kwenye muvie za Kinigeria kuwa Yapo . Alikuwa kiboko sanaa kwa maradhi ya kimwili na wale wanaotaka hela za masharti . Kwa bahati mbaya mwaka jana niliambiwa amekufa kamwachia mtoto wake sijajua kama huyo mtoto atakuwa balaa kama Mama yake.

2. Nikajongea maeneo ya Biharamulo huko Nilikutana na Fundi ambaye anapiga Ramli Usiku yani huyu ni kiboko ya Wasiri , Nikienda pale akianza ramli anauwezo wakumuita mtu yoyote popote Alipo atakuja na Atatoa siri zote yaani ataongea kila kitu . Huyu nilikutana na baadhi ya viongozi wanaofichuaga siri za watu ila huyu mganga naye nilimwamini kwa kiasi fulani ingawa sikupata tiba kwake mana nilienda kuwasikiliza na kuwaita baadhi Ya watu.

3. Kuna mmoja Nilienda kwake Aisee huyu yeye nilimuona hamna kitu alikuwa maeneo ya Ukerewe kwanza picha inaanza kila alichoniambia alinambia vitu ambavyo sijawahi fanya wala kunikuta ila akawa anakomaa kuwa hayo ndo matatizo yangu yule mzee nilimkubalia ila nilivotoka sikurudi kabisa.

4. Kuna Mganga Nilikutana Naye maeneo ya Bagamoyo ni shehe yeye anatumia visomo binafsi sio muumini sanaa wa kusomewa kwani naona ni sawa tu na kuombewa unaweza fanikisha au usifanikishe , Yule mzeee Alinipeleka baharini Tukavunja nazi na Kusoma Dua zao zile ila yule kilichonipeleka sikukufanikisha Japo wenyeji walikuwa wakimsifia sanaa.

Nishakutana na waganga wengi mpka wa Dar es Salaam wakweli na Waongo ila Asikudanganye mtu Ukiamua kuamini waganga wapo watakaokusaidia na wapo watakaokupoteza kikubwa ni Kuwatambua tu , Uzuri ukishakuwa mtembeaji sanaa Huwezi Danganywa kinjinga.

Mi ngoja niishie hapa wengine endeleeni mtoe mliyokutana nayo kwa Waganga huko , saivi natafuta connection ya Kwamsisi kuna mambo nataka nikawaone Nao Ujuzi wa
Aisee kweli nimeamini unaongozwa njia mbili tu
 
Nipo Tandika huku uswahilini na nafundisha Temeke secondary na huku uchawi wanaotumia u unaitwa large scale ukifanya nao ngono Basi Fahamu Mafanikio utabaki kuyasikia ncho jirani
Lakini uchawi wa Kupata hela hawana binafsi naona uchawi ni illusion naamini hata ao mademu ukiwagonga wanakupa Gundu na sio uchawi .
 
Mi ngoja niishie hapa wengine endeleeni mtoe mliyokutana nayo kwa Waganga huko , saivi natafuta connection ya Kwamsisi kuna mambo nataka nikawaone Nao Ujuzi wao

Ila kuna wakat unaweza kupata majanga mpaka unahis kichwa kinawaka moto walah!
Mi safari hii nimeamua nisiende tena kwa waganga nione maisha yanavyoenda
 
Mkuu inaonekana una matatizo mengi sana, waganga wote hao aisee..
 
Nipo Tandika huku uswahilini na nafundisha Temeke secondary na huku uchawi wanaotumia u unaitwa large scale ukifanya nao ngono Basi Fahamu Mafanikio utabaki kuyasikia ncho jirani
Lakini uchawi wa Kupata hela hawana binafsi naona uchawi ni illusion naamini hata ao mademu ukiwagonga wanakupa Gundu na sio uchawi .
Upo maeneo gan boss naomba namba ya mmoja wao pisi Kali Nina laki na ww Nina 20,000 Yako njoo dm please nataka k...... Mbano
 
Ukitafakari kwa makini, wengi waliofanikiwa walipata mganga wa kweli ila wana mbwembwe nyingi "mara Mungu kanijalia" sema hivi kwa ufasaha "Mungu kanijalia kupata mganga wa kweli". Tusidanganyane bwana. Hata hawa jamii ya "Bwana asifiwe mambo ni yale yale".
Hiyo nayo ni hoja fikirishi. Dada yangu huwa ananisisitiza kumtanguliza Mungu mbele ilhali yeye ni mfuasi wa dawa za kienyeji za waganga za mivuto ya biashara. Mmmh inaonekana wengi wanatupoteza maboya sana wengine.
 
Kuna mdada alienda kwa mganga kutafuta mwanaume. Yule mganga akamwanbia dada inawezekana nyota yako imefichwa hivyo haionekani. Akampa madawa akajipaka pale kwa mganga.

Kisha mganga akampanga mchizi wake mmoja kwenye eneo fulani umbali fulani toka ofisini kwake. Akamuelezea jinsi dada alivyo na shida yake, so mchizi ajipange akale kazi.

Demu kutoka kwa mganga dakika kadhaa anakutana na mchizi, mchizi akaomba wakae sehemu waongee kidogo huku wakipata soda, dada akajua dawa za mganga zinafanya kazi. Jamaa akawa anakula ile kazi kilaiiini kwa gia ya kumuoa. Kumbe hamna lolote.
Daaaaaah
 
Back
Top Bottom