Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

Kuna jamaa alikuwa na mke wake ,sasa baadae akaongeza mke wa pili

Maisha yakasogea sana basi yule mke wa kwanza akaona huu ni ujinga akaenda kwa mganga wa kwanza ili kutaka mke wa pili aachike lakin mganga yule hakuweza

Akaenda kwa mganga wa pili zikapigwa nyungu za kutosha

Siku ya pili tu asububi yule mke wa pili anataka talaka yake.
Mume anashangaa kulikoni kwani nimekukosea nini??
Mke hataki kuelewa anamwambia ww niache tu sitaki kuishi na wewe
.mumu kagoma kutoa talaka ,ikabidi mke aende polisi kushinikiza talaka


Mume akaona isiwe tabu akaandika talaka akampa mke , na mwisho wao ukaishia hapo


Uchawi upo ndugu zangu

Na hawa waliofanyiana hivi ni watu ninao wafahamu kabisa wa kijijini kwetu
 
Hakika ni vigumu n ni ngumu mtu kushiriki shiriki n kuiona Pepo amini katika mungu Hana mshirika Wala msaidizi shida zote mpigie goti yeye atafanya kila gumu liwe lepesi n kila lepesi liwe gumu
 
Elezea Kwa undani
 
Moto kuwaka hata kwenye kemia ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…