Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

Nam nam ndugu wafuatiliaji sasa tv zinakata miuno kutoa burudani kwa wajumbe wanaowasili katika vibanda umiza shangwe zinalindima
 
Hivi ahauo mkutano na upigaji wa kura hauwezi kuingiliwa na hackers toka kenya?

Kwanini wanafanya jambo nyeti wakati kuna tishio la mtandaoni
 
Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi

Wajumbeeeeeeeeeh
Wana CCM kila kata na wilaya wana connection ya mitandao na afisa tehama wa mkoa/wilaya
 
Nam nam ndugu wafuatiliaji sasa tv zinakata miuno kutoa burudani kwa wajumbe wanaowasili katika vibanda umiza shangwe zinalindima
 
Kuna watu watapigwa chenga ya mwili na goli la mkono litaingizwa
 
Back
Top Bottom