Uzi wa kusema ukweli

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
680
Reaction score
1,436
Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu

Naanza Mimi

Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
 
Ukweli ni,

Watanzania wengi hawauchukii ufisadi/wizi wa mali za umma. BALI walio wengi, wanachukia kwanini hao mafisadi sio wao.

Kitendo cha Mtanzania kutokuwa sehemu ya ulambaji asali/Ufisadi, kinamuuma zaidi kuliko Ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…