Uzi wa kusema ukweli

Uzi wa kusema ukweli

Kuna watu Tisa wanaogopeka sana Tanzania na hao watu Wana watu wao mnyororo ni mrefu ndiyo maana Kuna watu watafanya makosa adhabu kubwa watakayopewa ni kuhamishwa hamishwa na siyo kuondolewa vyeo walivyonavyo wakizidi sana wanabadilishiwa IDARA na vitengo ila siyo kuondolewa jumla
 
Wataje watu tisa [emoji137]
 
Ukweli ni kuwa, 99% ya wanawake wote wa sasa ni omba omba
 
Niijua JF kupitia bi mkubwa wangu 2010 yeye hana account ila ni mfatiliaji mzuri sana haswa simulizi.. sasa nikawa naipuuzia miaka ya 2016 nikaanza kusoma soma kina Lara1 badae nikajiunga.. hala hala bi maza ajue username yangu na utumbo nao postigi humu sometimes 🙌 ndo itakua bye bye.
 
Back
Top Bottom