BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
- Thread starter
- #21
Kuna watu Tisa wanaogopeka sana Tanzania na hao watu Wana watu wao mnyororo ni mrefu ndiyo maana Kuna watu watafanya makosa adhabu kubwa watakayopewa ni kuhamishwa hamishwa na siyo kuondolewa vyeo walivyonavyo wakizidi sana wanabadilishiwa IDARA na vitengo ila siyo kuondolewa jumla