Uzi wa kusema ukweli

Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu

Naanza Mimi

Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
Mbona huo nao uongo🤔
 
Ah bro tupo wengi wenye ugonjwa huo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 𝐦𝐳𝐚𝐛𝐳𝐚𝐛 na 𝐦𝐳𝐞𝐞 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐢𝐚
mjengewe sanamu mnafurahisha Sana 𝐃𝐫𝐨𝐧𝐞𝐝𝐫𝐚𝐤𝐞 ajengewe la kumaimtain uchumi
 
Mkuu ni vyema hili kulitambua kabla ya 40 la sivyo kuna kudhalilika uzeeni
Hapo kulitambua ni moja ila kuacha inahitaji rehema ya Mungu

Swalah muhimu
 
Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu

Naanza Mimi

Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
Mama ndiye mwanamke anayeweka masilahi ya mtoto wake wa kiume mbele, na kuwa tayari kufanya chochote kumsaidia mtoto wake kufanikiwa. Mke anaweza kumpenda mume wake kwa dhati, lakini upendo wa mama kwa mtoto wake wa kiume ni wa kipekee na hautawahi kulinganishwa na upendo wowote ule

Source: MTU_WA_MUNGU
 
Mama kwa watoto alie wazaa mwenyewe kuna mmoja anampenda kuliko wote.

Mafanikio dunia ya sasa ni kuchagua upande GIZA au MWANGA ukiwa wavugu vugu hutoboi labda udhaowako uwe generstion ya 5 (mpya,),pia unaweza usijijue upo giza au mwanga.

Nguvu ya mtu mume ni uwezo wake wa kufikiri, kwa maana Mtu mume mwenye uwezomkubwa wa kufikir hasumbuliw na mtu mke.
 
truly said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…