Uzi wa kusema ukweli

Uzi wa kusema ukweli

Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu

Naanza Mimi

Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
Mbona huo nao uongo๐Ÿค”
 
Ah bro tupo wengi wenye ugonjwa huo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ๐ฆ๐ณ๐š๐›๐ณ๐š๐› na ๐ฆ๐ณ๐ž๐ž ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐š๐ฆ๐›๐š๐ง๐ข๐š
mjengewe sanamu mnafurahisha Sana ๐ƒ๐ซ๐จ๐ง๐ž๐๐ซ๐š๐ค๐ž ajengewe la kumaimtain uchumi
 
nikihesabu fedha niliyo poteza kwenye uzinzi ni nyingi sana

nikiwa mdg nilikuwa nafuga njiwa,kuku,na mbuzi na mdg wangu tunauza, ye anahifadhi fedha mie nahonga hadi tunafika shule ya sekondari ye fm2 mie 4 akanunua baiskeli mie sina kitu

kuna siku tukakwazana, akanambia kwa fedha unayo pata ulitakiwa kuwa na pikipiki sio kuhangaika kuniomba baiskeli yangu

umalaya ni gharama mnoo
Mkuu ni vyema hili kulitambua kabla ya 40 la sivyo kuna kudhalilika uzeeni
Hapo kulitambua ni moja ila kuacha inahitaji rehema ya Mungu

Swalah muhimu
 
Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu

Naanza Mimi

Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
Mama ndiye mwanamke anayeweka masilahi ya mtoto wake wa kiume mbele, na kuwa tayari kufanya chochote kumsaidia mtoto wake kufanikiwa. Mke anaweza kumpenda mume wake kwa dhati, lakini upendo wa mama kwa mtoto wake wa kiume ni wa kipekee na hautawahi kulinganishwa na upendo wowote ule

Source: MTU_WA_MUNGU
 
Mama kwa watoto alie wazaa mwenyewe kuna mmoja anampenda kuliko wote.

Mafanikio dunia ya sasa ni kuchagua upande GIZA au MWANGA ukiwa wavugu vugu hutoboi labda udhaowako uwe generstion ya 5 (mpya,),pia unaweza usijijue upo giza au mwanga.

Nguvu ya mtu mume ni uwezo wake wa kufikiri, kwa maana Mtu mume mwenye uwezomkubwa wa kufikir hasumbuliw na mtu mke.
 
truly said
 
Back
Top Bottom