Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Itakua ndoa ya mfano na THE BEST OF ALL NDOAs.!!!Mmh ila ndoa yetu sisi tutakuja kushuhudia mema kweli au itakua kila siku matukio ya kutisha😀😀 kama sikuamini amini vile...
AmenHongera sana hakika umepata mke mwema
Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi😘 hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?Yani hata niwe na mamilioni ila nikimuomba husband ananipa kwa moyo yani kuna siku najisikia tuu anipe yy hela ya kifurushi au maybe nataka kufuli mpya sio kwamba sina hela ila kwa sbb nafurahia uwepo wake na ninafurahia zaidi akinipa yy au kuninunulia yy. Zaidi kuna security kubwa akiwepo yy. Mungu tulindie waume zetu japo tunapishana sometyms but we know ni sehemu ya ubindamu kwa sbb hatuko wakamilifu.
Aisee basi tufanye jambo tuje kushuhudia humu😀Itakua ndoa ya mfano na THE BEST OF ALL NDOAs.!!!
#YNWA
Niki hapa mama tuanze familiaWow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi[emoji8] hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for day/days?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnasimulia mazuri tu na kuacha mabaya ili tuoe then tuteseke wote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mtego nimeushtukia
Halafu unachepuka! Teh teh!Mkuu umesema vizuri sana. Mimi pia nakazia hiyo sentensi ya mwisho.
Upo mdogo wangu? Uliwafanya nini tena ndugu zako?Nakusalimu mkuu
Ni PM tafadhali 😘😘😘Aisee basi tufanye jambo tuje kushuhudia humu😀
Ngoja waje kuyaanika mambo yao wakati walishafundwa kwamba yasitoke nje ni yao peke yao...
Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi[emoji8] hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
HahahahWow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi😘 hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
Acha kupenda ugomvi wwWow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi😘 hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
Maskini wanainjoy tena sana kuliko wenye pesa sababu rate ya peace of mind ipo juu mno! Baba anamuwaza mke na watoto tu mda mwingi sio mahawara in most cases! Na mke anawajibika na mumewe.Hivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]
Sijakuelewa kivipi Tena??Hujanielewa. Reserve your commenti
Sipendi ugomvi bana ila si huwa inatokea kupishana , kwani wewe ni malaika babe hukosei?Acha kupenda ugomvi ww
Hapo sasaHivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]
Usiulize sana, wewe ingia tu huko utakachokutana nacho utabebana nacho.Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi[emoji8] hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
Hujabadilisha msimamo?Ndoa ni muhimu lakini Siyo lazima
UKIONA NDOA INADUMU JUA KUNA MMOJA KATI YA WANANDOA AMEAMUA KUJIFANYA FALA.Linalokusibu wewe usidhani kila mtu analo.
Kuna wanaolia kwenye ndoa lakini haimaanishi kuwa hakuna wenye Furaha.
Zipo ndoa nyingi tu Zina Furaha Sana.