Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Yani hata niwe na mamilioni ila nikimuomba husband ananipa kwa moyo yani kuna siku najisikia tuu anipe yy hela ya kifurushi au maybe nataka kufuli mpya sio kwamba sina hela ila kwa sbb nafurahia uwepo wake na ninafurahia zaidi akinipa yy au kuninunulia yy. Zaidi kuna security kubwa akiwepo yy. Mungu tulindie waume zetu japo tunapishana sometyms but we know ni sehemu ya ubindamu kwa sbb hatuko wakamilifu.
Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi😘 hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
 
Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi[emoji8] hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?

Wewe si kiburi chako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]
Maskini wanainjoy tena sana kuliko wenye pesa sababu rate ya peace of mind ipo juu mno! Baba anamuwaza mke na watoto tu mda mwingi sio mahawara in most cases! Na mke anawajibika na mumewe.

Wake zetu sie makapuku wengi wanatupenda sana na tuna feel ule upendo wa kweli! Japo sio wote wana wake wasikivu na watulivu ila kwa waliobahatika kupata wake wasio na tamaa tamaa za kishamba they are enjoying indeed bila hata kwenda Zanzibar ama Dubai Vacations!
 
Hujanielewa. Reserve your commenti
Sijakuelewa kivipi Tena??

Akati we umesema huwa una enjoy kama mmeo akiwa Ana pay bills ,hata kukunulia vocha,kufuri

Hata kama wwe una hela ila jamaa akitoa ndo una enjoy na kuw na social security, na kuona uwepo wake

Asa pata picha jamaa Ana hata Mia ,si ndo utakapo anza kukosa hizo social security ,furaha ,mwisho wa sku utaanza kumuona jamaa ni ndenzi tu

Jamani unavyooa hakikisha una hela ,na hata ukifulia unaeeza recover soon, au unaweza kuipata sehemu hata kwa kukopa,

Bila hivo wenyew wanakwambia wanakosa social security
 
Hivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]
Hapo sasa

Kingsmann
 
Wow , how i wish nije kushuhudia kama wewe hivi[emoji8] hongera kwa kupata mume mwema. Hivi hata mkipishana kauli kidogo kaugomvi hata hakadumu eeh? Mnaweza nuniana for a day/days?
Usiulize sana, wewe ingia tu huko utakachokutana nacho utabebana nacho.

Usitake kujua yote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom