Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

ushapiga vichwa wangapi? [emoji2][emoji2][emoji2] kuna kitu nimejifunza kwenye comment yako
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3] mzee yamewahi kukuta nini?
 
Ndio maana ndugu zetu waislam wanaoa wake wanne, Wakristo tunaishia kufanya zambi tu Kiukweli mke mmoja hatoshi
 
Sasa mnalalamika nini tukichepuka

Yaani nyie jueni mke mmoja hatoshi
 
Sasa mnalalamika nini tukichepuka

Yaani nyie jueni mke mmoja hatoshi
Mi nazani tazama imani yako mkuu, kama inaruhusu hata kuoa wake 10 Fanya hivyo!
Hapa tunajadili NDOA! Hiyo mambo ya idade ya wake kila mtu abaki na IMANI yake!
Kama ni muislam OA Kwa idadi yako! Na mkristu Soma Mathayo 19:4-6

Akawajibu: “Je, hamkusoma kwamba yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamkea 5 na kusema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?b 6 Basi wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.”*
 
Eeeh!!!! mnafaidi walah.
 
Ndoa tamu sana sema these days watu wanaipaka sana matope. Inasababisha kisaikolojia watu wanakua na picha mbovu.

Cha muhimu kwanza marry your type muwe washkaji, me nainjoi sana sometimes natamani madem pembeni ila sina ata mzuka nao ,nawaona kama madada na ndugu tu. Main reason nyumbani patamu bana.

Ndoa inapunguza sana stress za maisha. Its a safe space i have created.

Manyege ndo yanarudishana watu nyuma kimaisha bila wao kujua inapelekea kwenye ulevi ,multiple partners etc. Kwenye ndoa raha mnakua na games tofauti, kuna muda mnafanya simple tendo la ndoa, siku nyingine you https://jamii.app/JFUserGuide like pros or kitombo murua ,afu hakuna raha kama umtie mkeo vizuri hadi akwambia "asante beib" mkishamaliza.
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…