Ndoa tamu sana sema these days watu wanaipaka sana matope. Inasababisha kisaikolojia watu wanakua na picha mbovu.
Cha muhimu kwanza marry your type muwe washkaji, me nainjoi sana sometimes natamani madem pembeni ila sina ata mzuka nao ,nawaona kama madada na ndugu tu. Main reason nyumbani patamu bana.
Ndoa inapunguza sana stress za maisha. Its a safe space i have created.
Manyege ndo yanarudishana watu nyuma kimaisha bila wao kujua inapelekea kwenye ulevi ,multiple partners etc. Kwenye ndoa raha mnakua na games tofauti, kuna muda mnafanya simple tendo la ndoa, siku nyingine you
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala like pros or kitombo murua ,afu hakuna raha kama umtie mkeo vizuri hadi akwambia "asante beib" mkishamaliza.