Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hapa ulichoandika ni Kama kwamba ndoa zote Ni kaburi/majanga. Sio kweli.[emoji3][emoji3] Usithubutu kuhadaika na hizi shuhuda , Ndoa Ni kaburi linalotembea
Mimi mwenyewe nipo kwenye ndoa, tunapata changamoto za hapa na pale, tunazozana, makofi yanapigwa, nanuniwa wiki lakini yanaisha maisha yanaendelea, tunafurahia.
Nothing of value is cheap asee.
Hapa nipo nafata soseji za wife (anapenda Sana soseji) wakati huohuo nimemwachia maagizo kuwa akanyoe nywele au afanye lolote kutoa marangi ya nywele ya njano (ameweka bila kuniambia na sipendi).
So ndoa Zina pande mbili, Furaha na huzuni. Mnapaswa kutafuta fumbuzi za changamoto zenu mkuu.