Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

[emoji3][emoji3] Usithubutu kuhadaika na hizi shuhuda , Ndoa Ni kaburi linalotembea
Hapa ulichoandika ni Kama kwamba ndoa zote Ni kaburi/majanga. Sio kweli.
Mimi mwenyewe nipo kwenye ndoa, tunapata changamoto za hapa na pale, tunazozana, makofi yanapigwa, nanuniwa wiki lakini yanaisha maisha yanaendelea, tunafurahia.
Nothing of value is cheap asee.
Hapa nipo nafata soseji za wife (anapenda Sana soseji) wakati huohuo nimemwachia maagizo kuwa akanyoe nywele au afanye lolote kutoa marangi ya nywele ya njano (ameweka bila kuniambia na sipendi).
So ndoa Zina pande mbili, Furaha na huzuni. Mnapaswa kutafuta fumbuzi za changamoto zenu mkuu.
 
Mkuu umesema vizuri sana. Mimi pia nakazia hiyo sentensi ya mwisho.
[emoji123][emoji123][emoji123]

Tuendelee kushare taarifa njema, inaweza wasaidia baadhi ya ndugu zetu hapa juu ya uwepo wa ndoa nzuri
 
wakati wa tendo, ukifika kileleni unaona dunia yote yako, alafu ukute mwenza wako anatabia ya kuskiliziaa, aah raha hiyoo.
 
Mimi nadhani kuvumilia mapicha picha hiko nacho Ni kipaji kwanini ambao tunatumia logic mpaka katk mahusiano aisee Ndoa hatuziwezi , so ngoja tuwaachie nyie tu muendelee kutuwakilisha sio mbaya πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We hapa sio sehem ya kuweka shuhuda mbaya. Subiri uzi wenu wa shuhuda mbaya
Mimi nimetoa angalizo tu kwa vijana , Maana hawachelewi kuhadaika na maneno ya Huu Uzi halafu baada ya Ndoa wanakuja kuanza kulia Lia humu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mnasimulia mazuri tu na kuacha mabaya ili tuoe then tuteseke wote.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu mtego nimeushtukia
Sindio hapo πŸ˜€πŸ˜€

Eti kuna Mtu nimeona ka comment ukioa unauhakika wa kupewa papuchi /dushe wakati wowote ,, wakati Kuna watu wanalazwa mzungu wa 4 daily , Nina jamaa yangu huyo alikuwa hapewi papa na mkewe takribani miezi hata 4 na siku akipewa anapewa kwa masimango utadhani mtoto wa kambo vile πŸ˜€πŸ˜€
 
Wimbo flani hivi wakati watoto wana 3 to 5 years old... honi getini pipiiiii dady dady dady dady dady dady dady dady.
 
Hizi comments Zina Tia genye πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ila kwa ground Sasa πŸ€ΈπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…