Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaBado hamjanishawishi..Bado,bado.
Umeamua kutufariji mkuu , ahsante lkn😍Tena kama hujui Flat screen zinaonesha CLEAR!
Kuliko machogo hadi Upembue ...jicho
Imagine umekwama pesa. Ukigeuka ukamwambia mume wako unashida ya 50,000 fasta amekupatia. Bila kuitwa gest ukagongwe wala kutumika kimwili kokote kule....Kuna mambo mengine pekeyako unaona kama dunia inaelemea lakini ukimweleza mwenzi wako unapata unafuu na unaona maisha ni mepesi, wakati mwingine linatokea jambo la kifamilia umebanwa mwenzi anakuwakilisha na unaepuka lawama, kwa kifupi maisha ya kuishi wawili yana wepesi kwenye mambo mengi sana tofauti na ukiwa mwenyewe
True. Mume au mke ni watch dog wako. Unaweza kutaka kutoka ukafanye upuuzi ila mke au mume ni malaika wako wa ulinzi, utaona tu amekataa usiende....Halafu kuna mambo mengine yaani mpaka upate ruhusa ya hubby, au mpaka ushauriane na hubby, kwa hiyo hata mashost hawawezi kukulazimisha wanajua kwamba you are under someone, kuna raha yale bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuna machizi wanasema kwani lazima kuolewa bana? I can pay my own bills!
[emoji3][emoji3]
Tunajazana upepo tu humu
Ila wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti [emoji35] alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele [emoji57]Umesema ukweli kabisa kaka. Baadhi ya wanawake wakishaolewa wanajisahau sana. Kwanza kila siku wewe ndio umuombe mchezo ukiomba unaambiwa unapenda sana uchi ukipewa ufanye kidogo tu ukitaka kurudia unaambiwa nimechoka, usipo muanza hupewi kitu. Akipata mimba utanyimwa mchezo mpaka uombe poo.
😺😺😺😺😺 sasa kumbe mnajua pekeenu hamtuwezi ila tukigonga nje mnakasirika..Hebu acheni mambo ya kitoto basiIla wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti [emoji35] alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele [emoji57]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Unavyoshangilia utadhan flat kweli😺😺😺Umeamua kutufariji mkuu , ahsante lkn😍
Kwani uongo babe; mimi ni kaflat screen inch 21 tena😀😀Unavyoshangilia utadhan flat kweli😺😺😺
Hahahah babe we ulichonacho ni siri yangu😍Kwani uongo babe; mimi ni kaflat screen inch 21 tena😀😀
Kha Wewe babe unachokitafuta utakipata , labda usirudi home leo utaniona😀😀Hahahah babe we ulichonacho ni siri yangu😍
Ona sasa umeshaanza malalamiko ya kuleta gundu kwenye ndoa. Mada inasema tuongee mazuri.... Wewe umekosa mazuri... KhaaaaaaaaaaahIla wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti [emoji35] alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele [emoji57]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
TrueTrue. Mume au mke ni watch dog wako. Unaweza kutaka kutoka ukafanye upuuzi ila mke au mume ni malaika wako wa ulinzi, utaona tu amekataa usiende....
Maana anajua baya lolote likikukuta basi na yeye atadhurika...... Dah jamani raha sana kuwa katika ndoa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye ziwe inch 52 kabisa😅😅Kwani uongo babe; mimi ni kaflat screen inch 21 tena😀😀
Hahaha daah kweli ninechekaIla wanaume jamani! Hivi jiulize mlivokua mnaishi kabla ya ndoa ma sasaiv ni sawa? Unakuta mwanamke ana watoto shughuli zot3 za nyumbani toka asubuhi hadi jioni zinamtazama yeye wewe ukiombwa hata kusaidia kuogesha mtoto unanyanyua mabega kama roboti [emoji35] alafu jioni nimechoka zangu hoi uanze kunishika shika nakupiga ndosi hadi utoke damu puani, Mapenzi ni pamoja na kuhurumiana na kusaidiana tena mwingine unakuta wote mnafanya kazi na ukirud nyumbani unafanya majukumu ya home yeye amekaa miguu juu kashikilia rimoti akila hata sahani yake hasogezi, hizo genye nazipata saa ngapi...kwakweli kama mnaona solution ni kutafuta michepuko tafuteni na muhamie huko milele [emoji57]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Utaniua 52 si mchezo, ni chembambaaTufanye ziwe inch 52 kabisa😅😅
HahahhaUtaniua 52 si mchezo, ni chembambaa