mambo🙂Pole.
Hahahaha kambwa ndio nani?Kama navyokuchukia, kila nikikuona upon na kambwa pembeni
Safimambo🙂
KaDog I mean, tena bulldogHahahaha kambwa ndio nani?
Oky nimekupata hakuna jinsi ninavyokapendaKaDog I mean, tena bulldog
Ujinga wa matukio kama hayo lazma kuna mtu atakuona tu halafu atavujisha ushahidi! Unaeza jipanga ukahisi hamna ataejua ila kumbe ushastukiwa watu wakimtonya mwamba jiandae kwa yale yaliomkuta yule kinyozi Buguruni![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mkuu ili wazo sikuwa nalo aisee. Ngoja nione jinsi ya kulifanyia kazi.
tuseme mkuu umeshindwa hata kumteka huyo ambaye una bifu naye