Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Unakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe.

Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi machinjioni so most of the time nikikutana nae ni either ana visu au kishoka kiunoni. Nashindwa hata jinsi ya kumuingia.

Ila namchukia kinyama huyu boya.


Analyse
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mkuu ili wazo sikuwa nalo aisee. Ngoja nione jinsi ya kulifanyia kazi.
Ujinga wa matukio kama hayo lazma kuna mtu atakuona tu halafu atavujisha ushahidi! Unaeza jipanga ukahisi hamna ataejua ila kumbe ushastukiwa watu wakimtonya mwamba jiandae kwa yale yaliomkuta yule kinyozi Buguruni!
 
Back
Top Bottom