Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Unakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe.
Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi machinjioni so most of the time nikikutana nae ni either ana visu au kishoka kiunoni. Nashindwa hata jinsi ya kumuingia.
Ila namchukia kinyama huyu boya.