Nakushauri tumia manatiugomvi sio mpaka mkunjane mashati hata mbali mbali tu unaua show
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kuna wanaolazimisha bifu na mimi...!hamniwezi babu nyie..donβt hv time for you suckers!
Visasi ni vya muumba pekee.Huu uzi nitaurudia tar 31 december km Mungu akifanikisha nikiwa hai
Nawapromise haterβs wangu woteeeeeeee
Nitawafurahisha kwa mlichofanya sitowaacha salama lazima niwachane
STAY TUNED
Bff wasamehe bwanaaaa you are worth than them...achana nao twenzetu vacationHuu uzi nitaurudia tar 31 december km Mungu akifanikisha nikiwa hai
Nawapromise haterβs wangu woteeeeeeee
Nitawafurahisha kwa mlichofanya sitowaacha salama lazima niwachane
STAY TUNED
Hapana kuna watu wanakwaza sana humu lazima nitoe hasira zangu zoteeeeVisasi ni vya muumba pekee.
πππβ€Mie sina bifu na mtu namuachia Mungu ila akizidi namwendea kwisha
Si una bifu na aliyekuahidi ajira?[emoji23]Mie sina bifu na mtu namuachia Mungu ila akizidi namwendea kwisha
Huyo wa kwa ofisi ndio mbaya zaidi, usiache maji mezani [emoji23]We dada wa kwa ofisi usinitafutie kesi.Naomba mwandiko huu uusome ndotoni maana jf huifahamu...ila nakupenda ivoivo maana nami huenda nimewahi mkosea Mwingine.Mungu nitetee[emoji120][emoji120][emoji120]
Huyu si anawatoto ngoja wakueSi una bifu na aliyekuahidi ajira?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu si anawatoto ngoja wakue
Adui unaemuweza usimuachie MunguHapana kuna watu wanakwaza sana humu lazima nitoe hasira zangu zoteeee
Nikiondoka niondoke vizuri bila stress
Wewe ile siku nilitegemea ungemtaja mana ni kweli nilimuona alitoa like kwa bro shimba πππHuyu si anawatoto ngoja wakue