Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

yaani kuna kipindi nakuwa na hasira natamani nimpige mtu kipapai ila ndo sina huo uwezo!
 
mi nataka nao wasikilizie maumivu huku wakiniona nadunda mtaani!
 
We dada wa kwa ofisi usinitafutie kesi. Naomba mwandiko huu uusome ndotoni maana jf huifahamu...ila nakupenda ivoivo maana nami huenda nimewahi mkosea Mwingine. Mungu nitetee๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
We dada wa kwa ofisi usinitafutie kesi.Naomba mwandiko huu uusome ndotoni maana jf huifahamu...ila nakupenda ivoivo maana nami huenda nimewahi mkosea Mwingine.Mungu nitetee[emoji120][emoji120][emoji120]
Huyo wa kwa ofisi ndio mbaya zaidi, usiache maji mezani [emoji23]
 
Back
Top Bottom