Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Unamchukia kisa nini!?
 
Sijui kama zitapoa ila dear X Word you will never rest in peace even in your graveeee Aikoooh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Fundi wilisol yakawa ulienidhulumu hela yangu mungu au shetani akuue kifo kibaya hadi inzi wakukimbie ukifa nikiwa hai nitakufukia peke yangu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Huzuni, Hasira na Uchungu ni vifo vya taratibu.
 
....kuna li shangazi moja lina emotions sana ...linanisumbua akili yangu...sana thou linasisitiza sana hadi kulia eti linanipenda sana sana....sielewiii sasa....halieleweki!!
 
Ila mazee, mi kazini napiga kazi sana ila mshahara kiduchuu, mfano hapa mzigo umeingia leo tar 24 ila ushahisha kabla sijatoa.

Kuna muda nawaza niibe vitu vya taasisi ila naona kama nitakua siwatendei haki wananchi.

Ila dah naumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…