Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Kesho saivi sina pic
Fresh
Nishawah kupita tuu hapo na bus, nasikia kua sehem nzuri nzuri sana wanaishi washua ila nmeisahau jna
Umenikumbusha mbali sana, Hapo opposite nyerere square si kuna gest iko hapo?DODOMA NYERERE STREET
View attachment 1294556
Nishawah kupita tuu hapo na bus, nasikia kua sehem nzuri nzuri sana wanaishi washua ila nmeisahau jna
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee kuna forest huko halafu sijui na wapi tena jina limenitoka
Mara ya kwanza kufika dodoma mjini nilishangaa sana, ni pazuri sana tofauti na watu wanavyopasema, kuna dodoma carnival pale, Maisha Club pako poa sana watoto wa chuo kama wote