Uzi wa kutuma picha za mandhari ya sehemu mbalimbali hapa Tanzania

Uzi wa kutuma picha za mandhari ya sehemu mbalimbali hapa Tanzania

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
1,310
Reaction score
1,633
Tanzania ni kubwa sana, nashangaa sana pale ninapoona kuna watu wamezaliwa dar, wakitoka sana wameenda kibaha, chalinze au mororogoro, hawajui mazingira mengine, wao wanajua tuu dar, wanasikia tuu mkoani mkoani!

Uzi Huu uwe uzi wa kutuma picha za sehemu mbalimbali hapa Tanzania na kuandika ni sehemu gani, tuweze kuijua mandhari ya nchi kwa kupitia picha hata kama sio watu wa kusafiri sana na kufika mikoa mbalimbali.



NAANZA MIMI



HAPA NI SAME, MKOA WA KILIMANJARO
IMG_20191215_125850.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom