Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

1059877

Before this year ends.... Ooh Lord hear my Prayer🙏🙏🙏
 
Yanafanana na magari ya Land Rover mmiliki ni mmoja Tata Motors kama sijakosea. Nadhaani wameunganisha na man power yao thus why ford za sasa ukiiangalia vyema unaona features za Land Rover
Hapana mkuu,Ni kweli Ford alikuwa anamiliki Land Rover,kisha akamuuzia TATA. Na hiyo Ford explorer ni crossover unibody na wala sio body on frame kama discover. Ford alinunua Land Rover kutoka kwa BMW group.
 
Siwezi kukupinga mkuu source yangu ni mitandao ambayo yeyote anaweza kuingia na kuandika chochote atakacho!! But nilichokuwa najua ni Tata anamiliki Ford na Land rover achilia mbali Daewoo na zingine huko Asia.

Nikipata fursa nitaingia mitandaoni kujiridhisha, ndiyo kuelimika kwenyewe huku!
 
Back
Top Bottom