Wako Mtiifu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2018
- 261
- 632
Before this year ends.... Ooh Lord hear my Prayer🙏🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha rafikiCruiser FJ ,
Mercedes Benz VIP klaseen hatari ukiiona kama noah vile
Sent using Jamii Forums mobile app
haya yanapatikana Nit au Dit...?? Au ndo Brand ako Mwanajf mwenzetu
Kwa biashara ya utalii hapo ndio mahali pakeNajua kuna watu washanielewa tayariView attachment 1057607View attachment 1057610View attachment 1057613View attachment 1057616
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hata akienda kuchomwa moto sawa tu!Jamaniii! Kuna watu wanakula miraha! Maengineer wanaumiza vichwa daily!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1]Huyo hata akienda kuchomwa moto sawa tu!
Ila wewe masikini sasa, hapa duniani unapata tabilu na mbinguni unaenda kupata kuberiti..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu,Ni kweli Ford alikuwa anamiliki Land Rover,kisha akamuuzia TATA. Na hiyo Ford explorer ni crossover unibody na wala sio body on frame kama discover. Ford alinunua Land Rover kutoka kwa BMW group.Yanafanana na magari ya Land Rover mmiliki ni mmoja Tata Motors kama sijakosea. Nadhaani wameunganisha na man power yao thus why ford za sasa ukiiangalia vyema unaona features za Land Rover
Kuna watu humu kwa kujifariji[emoji4][emoji4][emoji4] kwekwekwekwekwe job true true.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ngoja nifanye mchakato next year niagize dreamliner kutoka sumbawanga[emoji857][emoji857][emoji857]
Hapana mkuu,Ni kweli Ford alikuwa anamiliki Land Rover,kisha akamuuzia TATA. Na hiyo Ford explorer ni crossover unibody na wala sio body on frame kama discover. Ford alinunua Land Rover kutoka kwa BMW group.
Duuh nissan surf hio itakua ni toleo limetoka leo asubuhi.
Kuna Toyota Surf tu kiongozi na sio nissan.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[/Qebwana upo sahihi nimeingia chaka ni toyota bwanaTupia tu kapicha mzee baba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamekaa simple sana. Halafu kapo juu. Hii ni new modelMi nakapenda sana haka kagari.