Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Attachments

  • AUDI.jpg
    35.9 KB · Views: 44
  • AUDI2.jpg
    36.4 KB · Views: 42
hahahah, kila la heri Mkuu, ukiitazama utasema imetengenezwa na Yale mabati ya zile hausezi za Line Police...
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28].
Nashkuru sana Mkuu, nikifanikisha nitakualika siku ya kuizindua, uwe mgeni wa heshima kuizindua Mundende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha nimalizie supu yangu niendelee na bapa langu la konyagi nikilewa naenda kulala
Nikiota gari ya ndoto yangu nakuja ku comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote, kumbuka kuna wanaofia majini na kupotea, ndege zinaungua na watu wanakua mjivu nk!!!


Weka picha ya gari ulipendalo hata kama ni fuso!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina miliki magari mawili rav 4 na Toyota Harrier tako la nyani naona kwa sasa kwa mitikasi yangu zatosha..nina wake wawili mmoja nilimnunulia Mark X mwengine nae ana RAV 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…