The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Ni gari fuln ina uwezo wa kua kubwa au ndogo kulingana na mazingira. Inatumika sana sana kweny ishu za folen. Inatumia umeme na battery yake inaeza tumika kwa umbali wa 70km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari fuln ina uwezo wa kua kubwa au ndogo kulingana na mazingira. Inatumika sana sana kweny ishu za folen. Inatumia umeme na battery yake inaeza tumika kwa umbali wa 70km
Cruiser FJ ,
Mercedes Benz VIP klaseen hatari ukiiona kama noah vile
Sent using Jamii Forums mobile app
VERY SOON I'LL BE ON THISHabari!
Siku hizi gari si anasa, ni kitu cha muhimu maishani. Asilimia kubwa tunatamani kumiliki vyuma hivi vya kutembelea. Hebu tupia Usafiri unaotamani kuwa nao maishani.
Natamani sana siku moja nimiliki Mercedes-Benz mf Jurassic model! View attachment 1057494View attachment 1057496View attachment 1057497
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mercedes moja ya hivi ni model ya zamani hua naiona pale chuo cha Ushirika Moshi imepaki juu ya mawe....
We tupia tu mkuu, Vits ipo poa tu so longer unaipendadah, sisi wenye ndoto za kumiliki vits zijui tunaruhusiwa
Hii kitu Afande Sele aliipelekaga wapi baada ya kupewa zawadi?VERY SOON I'LL BE ON THIS
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28].hahahah, kila la heri Mkuu, ukiitazama utasema imetengenezwa na Yale mabati ya zile hausezi za Line Police...
HAHAH HAHA HAHA NDUGU YANGU GARI SIO PURCHASING COST TUU BALI KUNA MAINTANANCE COST, SASA UYO AFANDE WAKO HANA UWEZO WA MATUNZO KWA GARI KM IYO ASEE
Kwa hiyo atakuwa aliiuza apate kapesa ka kununulia vijiti vya moshi?? Ha ha haaaHAHAH HAHA HAHA NDUGU YANGU GARI SIO PURCHASING COST TUU BALI KUNA MAINTANANCE COST, SASA UYO AFANDE WAKO HANA UWEZO WA MATUNZO KWA GARI KM IYO ASEE
HAHAH HAHA HAHA AYA MAISHA SIO POA AISEEKwa hiyo atakuwa aliiuza apate kapesa ka kununulia vijiti vya moshi?? Ha ha haaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote, kumbuka kuna wanaofia majini na kupotea, ndege zinaungua na watu wanakua mjivu nk!!!
Mkuu nina miliki magari mawili rav 4 na Toyota Harrier tako la nyani naona kwa sasa kwa mitikasi yangu zatosha..nina wake wawili mmoja nilimnunulia Mark X mwengine nae ana RAV 4Sio wote, kumbuka kuna wanaofia majini na kupotea, ndege zinaungua na watu wanakua mjivu nk!!!
Weka picha ya gari ulipendalo hata kama ni fuso!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] kumbe uko njema! Ngoja na sie tuzisake za ndoto zetu!Mkuu nina miliki magari mawili rav 4 na Toyota Harrier tako la nyani naona kwa sasa kwa mitikasi yangu zatosha..nina wake wawili mmoja nilimnunulia Mark X mwengine nae ana RAV 4
Sent using Jamii Forums mobile app