Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Hakika tupo pamoja
Hongera sana ukiwa unatoka out naomba uvae hiki
0b83ea47d42be807eac0701e5bd2aec9.jpg
 
Hongera sana ukiwa unatoka out naomba uvae hiki
0b83ea47d42be807eac0701e5bd2aec9.jpg
Hakika nitafanya hvo japo cko interested sana na hzo zangu huwa ni slippers..!!! Nazipenda mpaka muda mwingine nataman kuzipika supu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Yaaaan katika vitu ambavyo vinanichanga kwa mwanaume ni viatu and of all people walopost viatu aiseee nimeshawishika kukuambiaa kuwa kutokana na ulivyovaaa we ni mtu makini saaana ...nimetamani kukujua ghaflaa kudos
kumbe!
na mie nanunua kama hivyo
 
Hilo toleo la around 2010 style ya zaman saana hiyo
U'mfuatiliaji mzuri wa styles ila haijalishi sana mkuu kuna sehem tukiingia na hivyo hivyo tuanaonekana sio wa kawaida hata kidogo.
 
Yaaaan katika vitu ambavyo vinanichanganya kwa mwanaume ni viatu and of all people walopost viatu kwa leo aiseee nimeshawishika kukuambiaa kuwa kutokana na ulivyovaaa we ni mtu makini saaana analfu anayejielewaa upo kwenye around 35/6...nimetamani kukuona ghaflaa kudos
Karibu Tufahamiane
Mambembe
 
Back
Top Bottom