Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Hongera sana ukiwa unatoka out naomba uvae hiki
Hakika nitafanya hvo japo cko interested sana na hzo zangu huwa ni slippers..!!! Nazipenda mpaka muda mwingine nataman kuzipika supu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Yaaaan katika vitu ambavyo vinanichanga kwa mwanaume ni viatu and of all people walopost viatu aiseee nimeshawishika kukuambiaa kuwa kutokana na ulivyovaaa we ni mtu makini saaana ...nimetamani kukujua ghaflaa kudos
kumbe!
na mie nanunua kama hivyo
 
Hilo toleo la around 2010 style ya zaman saana hiyo
U'mfuatiliaji mzuri wa styles ila haijalishi sana mkuu kuna sehem tukiingia na hivyo hivyo tuanaonekana sio wa kawaida hata kidogo.
 
Karibu Tufahamiane
Mambembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…