Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Humu kuna watu wanaweza kukupanikisha tu
Hakuna anayeweza kukupanikisha zaidi yako wewe mwenyewe!
Elewa kwamba hapa duniani kamwe hatuwezi kuwa sawa kimtazamo hata siku moja.
Mtu asipopenda wewe unachokifanya wewe unaogopa nini wakati hata mlo wako hachangii ???

NB: Kama hutukani wala kuvunja sheria unaogopa watu kwanini ??
Wakichukia wewe kisa kuweka viatu vizuri basi wanywe sumu wafe au wasisome huu uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…