Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tofauti kubwa ni soli. Ukiona imekolea sana kama inataka kuwa na rangi ya chocolate ujue famba. Ila zaidi nikikiona kiatu ndio najua kukueleza naona kama inaniwia ugumuNitakijuaje FEKI...na OG...nisaidie kwa hilo...
150 unapata, soko la mitumba arushaInapatikana wapi hii....na bei je kiasi gani...?
Sisi wazee hatupo kwenye fasheni....tumewaachia nyinyi vijanaMhhhhhh soksi teh teh