Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
I think hizo socks ziliokotwa dampoHivi viatu ukivaa na socks ss unaharibuu
Basi nimeahirisha kukutana na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua ugonjwa wanguuu eeeh
Naona uko site na 'safety boots'
Naomba ucomment kulingana na viatu vyangu na post yakoNa ukitaka kumjuaaa mwanaume mstaaarabu angaliaaaa kiatu alichovaaa,unaweza kukuta mwanaume kavaaa kapendezaa balaaa ilaa ukiangaliaaa chini viatu havitizamiki
Unakiona kitu ya puma hicho!
American soldier[emoji1][emoji1] huo mzigo sio mchezo
Huu ni 'uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume'
Shost nikupe hichi kinakufaaaa
Kipo mguuni sasa hivi