Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Na ukitaka kumjuaaa mwanaume mstaaarabu angaliaaaa kiatu alichovaaa,unaweza kukuta mwanaume kavaaa kapendezaa balaaa ilaa ukiangaliaaa chini viatu havitizamiki
na akiwa kavaa safari
 
Mbn na wewe una churaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3](jokes)

Ukitoka site upitie hii kitu tutoke out handsome wanguuu
hahaha sawa mama nitafutie sandals......mimi na viatu mbali mbali uwa navaa site tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…