Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nishafika baba
Ahahhahahahah nishafika my dia subiria nikurushie pichaNadhani demiss alitakiwa amtag mama sabrina [emoji13]
Karibu sanaNishafika baba
Jamaa tumefanana sana ,kweli duniani wawili wawili
Hb wa Nyanguge
lakini bi dada humu kazungumzia sura. Suala la pesa ni uzembe wa muhusika.Mwanaume pesa sura Hata Mbuzi anayo [emoji85][emoji85][emoji3]
Imeandikwa Fedha ni jawabu la mambo yote [emoji108]
Kuna wanawake walioingia Kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuangalia sura ya mwanaume Ili hali waume hao hawana pesa Hata ya kuweza kujikimu na familia Mwaka wa kwanza, wa pili n.k mwisho wa siku ndoa hizo zimeishia kivunjika kwa asili!
Rejea ndoa ya Madam Florah Mbasha, Joyce Kiria na wengine wengiiiii!
Wadada unapotaka kuolewa usianze kwa kuangalia sura ya mwanaume badala Yake angalia upendo, uaminifu, Ucha Mungu, uwezo wa kuweza kupata pesa ya kujikimu na familia n.k
Huyu atakuwa mwanamme wa DSM huyuHuyu nae mwanaume?
Hapo mmoja tu ndo mbayaaaa wengine [emoji291][emoji291][emoji291][emoji291][emoji291]Mh! Hawa ni wote?!!! au kuna wachache tu kwenye pikture... Maana wapo wengine tunafanana nao.. Kabisa. Na nasikitika kukujulisha hilo kundi sio langu kabisa.
Karibu sana roho ya mtu [emoji4]nimemic uwepo wako humu mjengoni [emoji7][emoji9]Ahahhahahahah nishafika my dia subiria nikurushie picha
Wanaume wetu wazuri sio kama huyo.Huyu atakuwa mwanamme wa DSM huyu
Hisia haziji hapo weweLabda nivute hisia Nipo na Deep jaman khaaaa Tena wanakuwaga na mikono laini
Usiweke ya yule jamaa wako, weka nyingine.Ahahhahahahah nishafika my dia subiria nikurushie picha
Mi na we hatuna tofaut sijui kwann napendaga wanaume wagumu wagumu[emoji23]wa Tarime af atupie hayo magwanda uwiiii...ila asiwe mgumu mpk kweny kugegedaHandsome. Napenda mwanaume anaevaa magwanda hasa ya jeshi
Yule cheupe tunamwita chaurembo[emoji23][emoji23]analamba sana lips yuleBongo tuna watu wana Sura ngumu sana labda yule Ben ten wa Nisha baby