Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

f7edc263e0aecd770bcc7d5a3209de1a.jpg

Hb wa Nyanguge
Jamaa tumefanana sana ,kweli duniani wawili wawili
 
Mwanaume pesa sura Hata Mbuzi anayo [emoji85][emoji85][emoji3]
Imeandikwa Fedha ni jawabu la mambo yote [emoji108]
Kuna wanawake walioingia Kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuangalia sura ya mwanaume Ili hali waume hao hawana pesa Hata ya kuweza kujikimu na familia Mwaka wa kwanza, wa pili n.k mwisho wa siku ndoa hizo zimeishia kivunjika kwa asili!
Rejea ndoa ya Madam Florah Mbasha, Joyce Kiria na wengine wengiiiii!
Wadada unapotaka kuolewa usianze kwa kuangalia sura ya mwanaume badala Yake angalia upendo, uaminifu, Ucha Mungu, uwezo wa kuweza kupata pesa ya kujikimu na familia n.k
lakini bi dada humu kazungumzia sura. Suala la pesa ni uzembe wa muhusika.
 
Mh! Hawa ni wote?!!! au kuna wachache tu kwenye pikture... Maana wapo wengine tunafanana nao.. Kabisa. Na nasikitika kukujulisha hilo kundi sio langu kabisa.
Hapo mmoja tu ndo mbayaaaa wengine [emoji291][emoji291][emoji291][emoji291][emoji291]
 
Back
Top Bottom