Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

hahaaa kwahiyo hana soko ..?? daahh msitufanyie hvyo aiseee mtatufnya tukimbilie gym nasisi taunze kutumia powder ili misuli ijae
Nendeni gym ,zile muscles mi huwa zinanifanya nakojoa haraka
 
Yaaah sure but he's too fat.

Kuna sura nikiziona na ndevu yaani naloa kabisa natamani nimsogelee nimle mate nimchezeee ndevu....

Uwwwii natafuta padri aniombee huyu pepo aondoke[emoji85] [emoji85]
Hahahahahhaha yani huishiwi hamu ya game Ukiwa nayeee naomba unisindikizie nankapic basi maana ndo kaugonjwa kangu Mama Sabrina kaniambukiza
 
WAKUU HII NAYO NI CAMERA 970 AU 1060?.JUST JOKING!!.
f0c98515a98bb029fcbefa84b48cc147.jpg
Kaka unaelekea kujitahidi ,,hongera
 
Kama ni wewe huyo kwa avatar basi wacha nikusake[emoji1]
Mi wa kawaida tu ila nnaowatakaga sasa wananizidi viwango hahahaaa,,sio kila mwanaume mzuri ananivutia hapana kuna vitu naangalia vinanivuta automatic
 
Back
Top Bottom