mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Subir nikutafute wewe utaacha kabisa kutaka wazunguMi wa kawaida tu ila nnaowatakaga sasa wananizidi viwango hahahaaa,,sio kila mwanaume mzuri ananivutia hapana kuna vitu naangalia vinanivuta automatic