Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa..kila mwanaume unamtaka...wakikufuata wote utawakubali?View attachment 689137 wiliam Levy huyu mpaka nilimu unfollow napatwa wivu mpaka nikakoma aisee ,,nilikua sikosi kuangalia Marichui kisa huyu William daah kuna watu wanazaa jamani
Hunielewi nini tena kipenzi.wewe mtu ujue sikuelewi kabisa. kwema lakini?
Embu tuma tuionePicha yangu mnona naiona ina circulate sana hapa. Au mmeiiba kule IG?
Mmmmh![]()
Hata mimi ni handsome jamani
Waooo nilikua namtafuta jina nimemsahau halaf na kuna yule mwingine mweusi mzuriikuna yule Jamaa wakuitwa MAGID MIKEL BWANAAA . ..HEBU MLETE HAPA
Angemfikia docta wa mama sabrialna tungejuta humuAcha kujichoresha na Wewe jaman khaaaa ngj nikalie kwanza
Mi bamia navumilia tuaiseee ukiwa navyo vyote hivyo ..halafu bado ukawa na kibamia pia tabu..daahh muwe mnatuonea huruma wakuu
Kila mtu anipe wiki wiki niwe nae ntaridhika maana wote soo mwaaa ila wote hao nachagua wiliam levy huyu mpaka mkewe namuoneaga wivu aiseeHa haaa..kila mwanaume unamtaka...wakikufuata wote utawakubali?
HaahahahahahahAngemfikia docta wa mama sabrialna tungejuta humu
umeanza kuninyegesha asubuhi subuhiHunielewi nini tena kipenzi.
Nawe ma HB wanakuchanganya ehEmbu tuma tuione
wapemba hawachelewi ujue mama sView attachment 689138 ramsey noah nae sio haba
Sura ya kazi
Wewe ya mkeo unaweza kuweka mtandaoni?Utashangaa mnatuma picha ya mahndsome but waume zenu hamuwaweki..sijui tamaa itaisha lini
Niko ofisini tafadhali usinifanyie hivyoumeanza kuninyegesha asubuhi subuhi
Ahhahahahahahwapemba hawachelewi ujue mama s
Sio sana kama wanavyonichanganya wenye hela.Nawe ma HB wanakuchanganya eh
kumbe hujui mambo yao.. afu wakishajua kuwa unawakubali basi wanakupaka mafuta kabisa.Ahhahahahahah
Hawachelewi kufanyaje?