Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

hahaa sio van vicker huyo ..oohh wewe wamsema desmund eliot..yule ambaye ni mbunge kwa ssa
Hapana van vicker mzuri lakin mfupi ila
Kuna huyu
Screenshot_2018-02-02-09-57-49.png
najiulizaga hivi zari hakumuona huyu kaka bank wiliam anatangaza pia coka ameoa huyu mkaka jamani huyo mwanamke dahaa ana bahati
 
Back
Top Bottom