Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

hahaa sio van vicker huyo ..oohh wewe wamsema desmund eliot..yule ambaye ni mbunge kwa ssa
Hapana van vicker mzuri lakin mfupi ila
Kuna huyu najiulizaga hivi zari hakumuona huyu kaka bank wiliam anatangaza pia coka ameoa huyu mkaka jamani huyo mwanamke dahaa ana bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…