Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Wanaowaponda hao wanaume washazoea kuwa na wanaume wenye sura ngumu,,mkiwa mnafanya mapenzi mwanaume anakunja sura kama anataka kufa anaanza kukutisha,,sie wengine tushazoea wanaume wenye muonekano wa kuvutia na wanajua tu kut.omba na mengine juu,so endeleeni kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23] wajaribuni hamtawaacha
anyway huyu kaka kaigiza kwenye Ray Donovan ,mdogo wake Ray huyu ni kama aliumbwa kwaajili yangu jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mwifwa nalia mimii
 
Hahahaaaaaa. Habari ndio hiyo. [emoji108] [emoji108]

Ila nakumiss sana mumu unakojichimbia nialike na mie basi.
Yaani hunizidi mm kipenzi,nilikuwa najipanga nikuanzishie Uzi wa kukumiss shoo wanguu....ila sio siri niko "tait" kwa kipindi hiki ni venye jf naipenda tuu,...ilaaaa jipange mamii nina booonge la ofa kwako,tutaongea twende wapi siku hiyo tuombeane Heri tuu inshaAllah..
 
Naona unatuwekea picha zako za kupigia punyeto, lakini kiuhalisi wanaokula papuchi yako ni hao unaosema wanakunja sura kama wanataka kufa
 

Hahaaaa. Nipo my dear. Pole mwaya na hongera pia.

Aisee wacha nijipange kwa hilo bonge la ofa. Ila mumu unajuaga kunitamanisha ujue. Tutaongea mwaya sababu maisha yenyewe mafupi haya.

Nakuombea my dear Insha Allah, kheri izidi kupatikana mwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…