Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Hahahah Amina shostii,.maisha yenyewe yako wapi haya yakujinyima,...tunapambana Mungu akitupa basi si vibaya kujilia mema ya nchi ukiwa na uwapendao,haha kwani shin' ngapi eti,.aaah tuombeane tuu mwaya afya njema na mafanikio[emoji8]
Kweli kabisa my dear. Na ndio kilichobakia hicho.

Uwe na asubuhi njema rafiki. [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…